Kampuni
ya Magari ya MERCEDES-BENZ, imetangaza kuwa ifikapo mwaka 2020, itaanza kuuza
magari inayojiendesha yenyewe, lakini inadaiwa ata kama hiyo gari itaweza
kujiendesha yenyewe lakini dereva
anatakiwa kushika usikani katika mazingira magumu kama vile katika mataa
ya barabarani.
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment