Kampuniya
Afrika Kusini iliyompa dili rapper wa nchini marekani, Kendrick Lamar,
imetangaza kuwa msanii huyo aliyetarajiwa kudondoka nchini humo mwezi November
mwaka huu ameahirisha mpaka mwakani mwezi wa pili.
Inadaiwa kuwa msanii huyo amepeleka mbele ratiba
hiyo kutokana na Ziara ya Kanye West, itakayofanyika mwez ujao hadi mwezi wa
12, ambayo inategemewa kutembelea Marekani na Lamar, pia atakuwa kati ya
wasanii muhimu katika ziara hiyo.
0 maoni:
Post a Comment