Msanii
wa muziki nchini LADY JAYDEE, ametengua mguu jukwaani kutokana na kiatu kuwa
kirefu na kumshinda katika jukwaa na kumsababishia maumivu ya Mguu, tukio hilo
lilijitokeza katika jukwaa la Kili Music Tour, jijini D ar es salaam.
Msanii huyo aliandika katika kurasa yake ya
Facebook, kuwa ( kuanguka jukwaani ni
ajali kama ajali zingine, isitoshe sikuanguka bali nilikaribia , ila poleni kwa
mlioumizwa na hicho kitendo…. Nitapunguza urefu wa viatu siku nyingine) hayo yalikuwa maneno
ya mwanadada huyo.
bora apunguze urefu coz ni hatari kiafya
ReplyDelete