Mchezo kati ya Simba na Mbeya city,
ulikuwa wa vuta nikuvute na mwishowe kuishia kwa mabao mawili kwa mawili,
mchezo ulichezwa katika kiwanja cha Taifa jijini Dar es salaam.
Dakika
ya 29 simba ilijipatia bao la kwanza kupitia mcheji wake Amis Tambwe, wakati
bao la pili lilipatikana dakika ya 31,lilipachikwa wavuni na Tambwe, mpaka sasa
Tambwe anajiandikia mabao 6, tokea kuanza kwa ligi.
Wakati
dakika ya 37, Mbeya City inajipatia bao la kufuta machozi lilopachikwa wavuni
na Paul Nonga, dakika za kipindi cha kwanza zilimalizika kwa mabao mawili kwa
moja, punde kipindi cha pili kilipoanza dakika kama ya 65 hivi vijana kutoa
mkoani Mbeya wakajiandikia Bao la pili na kufanya mechi hiyo kwisha kwa mabao
2-2 kati ya Simba Sc na Mbeya City.
0 maoni:
Post a Comment