MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

MTOTO WA MIAKA MIWILI AJIFUNGUA WATOTO MAPACHA.

Mtoto wa miaka miwili wa Huaxi nchini China, amefanyiwa upasuaji wa kujifungua baada ya madaktari kugundua kuwa alikuwa na mimba, mtoto huyo alipelekwa Hospitali baada ya tumbo lake kuwa kubwa kiasi ambacho alijikuta akishindwa kupumua.

Alipolazwa , madaktari walichukua picha za X rays na MRI , na kugundua kuwa feng , alikuwa amebeba mimba isiyokuwa na ****, na kuamua kumfanyia upasuaji.

Madaktari waliondoa mimba hiyo change ambayo ilikuwa na ukubwa wa cm 20, na ilishaanza kuwa na vidole , inasemekana mimba hiyo ilitaka kuwa ya watoto mapacha.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment