Msanii
wa Muziki nchini marekani, Snoop Lion, amejishindia mfuko wa Bangi kutokana na
kidau walichokiweka kati yake na kijana wa kimexico kupitia Pambano la ngumi
kati ya Bondioa mkuwa wa marekani aliyejichukulia ubingwa mkubwa Floyd
Mayweather, kumshushia kichapo Canelo Alvarez,
Snoop amepiga picha akiwa ameshika mfuko uliojaa
bangi na kujisifu kupitia Instagram.
0 maoni:
Post a Comment