Makamu
wa Rais wa shirikisho la mpira duniani FIFA, Jim Boyce, amesema kuwa nchi za
Uraya zinaweza zikalipeleka michuano ya kombe la Dunia katika nchi zao ifikapo
mwaka 2022.
Viongozi wa juu kabisa wa shirikisho hilo watakutana
huko Zurich, mwezi ujao, inategemewa kuwa maamuzi yatakayo tolewa ni kuwa
michuano hiyo itaondolewa kipindi cha Joto kali, kipindi ambacho Qatar, inakuwa
na nyuzi joto zaidi ya 50, kutokana na hali hiyo wadau wengi wamesema kuwa
michuano hiyo itakuwa na kipindi kigumu sana kuchezwa nchini humo, hayo
yalisema na Boyce.
Shirikisho hilo linataka punde watakapo kutana
katika meza moja kila mtu awe na majibu ya kujitosheleza juu ya michuano hiyo
kuchezwa nchini Qatar.
0 maoni:
Post a Comment