MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

JESHI LA DRC LAKOMBOA MIJI MITATU.

Mpiganaji wa M23 Rutshuru
Jeshi la Jamhuri ya Demokrasi ya Congo linasema limeikomboa miji miwili mengine kutoka kwa wapiganaji wa M23, karibu na mpaka wa Rwanda.

Jeshi liliwaambia waandishi wa habari kwamba Jumapili limeteka Rutshuru na Kiwanja, katika jimbo la Kivu kaskazini; baada ya kuteka Kibumba Jumamosi.

Umoja wa Mataifa unasema mwanajeshi mmoja wa Tanzania, katika kikosi cha kuweka amani cha Umoja wa Mataifa, aliuwawa Kiwanja, akijaribu kuwalinda raia.

Mapigano yalizuka Ijumaa, siku chache baada ya mazungumzo ya amani ya mjini Kampala, Uganda, kuvunjika

Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment