Kundi la muziki kutoka nchini
Nigeria , P Square, wanatarajiwa kufunika katika jiji la Dar es salaam mwezi wa
11, 24, 2013. Wasanii hao wataletwa na kituo cha Televisheni cha EATV.
Kituo
hicho kiliandika kuwa “ Tanzania kwa mara nyingine tena tunawaletea kwenu P
Square, ……Together Tunawakilisha” hayo
yalikuwa ni maneno ya Tv hiyo kupitia Tweeter, wakati huo huo kupitia account
yao ya Facebook waliandika tena kuwa “ TUTAELEWANA TU MWAKA HUU AU SIYO !!!
EHHH!!!
Sikia
hii sasa !!! Tanzania kwa mara nyingine tena tunawaletea kwenu P SQUARE ,
Jipange kucheza na PERSONALLY, ALINGO, CHOP MY MONEY Na nyengine kibaooooo !!
NOVEMBA
patakuwa HAPATOSHII !! JIPANGEEEEE !!!!!!!!!!.
Hayo
ni maneno yao lakini kunani hapo maana pale EATV na kule………..? siku hiyo hiyo
haya sasa.
0 maoni:
Post a Comment