Mwanamuziki wa kike anayejulikana kwa
jina la Rihanna amejikuta akiingia katika tifu jipya mara baada ya kuachia
video ya wimbo wake wa Pour it Up, wadau na wapenzi wake wamefunguka na kusema
kuwa wimbo huo umejaa matusi mno.
Wadau wengi Duniani kote wameupiga vita wimbo huo pia wanaharakati
wameutaka mtandao wa YouTube kuuzuiya wimbo huo kwasababu unapotosha jamii,
wakati wazazi wamewataka watoto zao kuto utazama wimbo huo.
0 maoni:
Post a Comment