MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

VURUGU ZA WAFANYABIASHARA MKOANI MBEYA. MARA BAADA YA KUGOMEA MACHINE ZA TRA.

Wafanyabiashara mkoani Mbeya, wameandamana na kuchoma moto katika barabara mkoani humo kufuati mgomo wa kununua mashine za TRA, zenye Gharama ya laki nane (Tsh 800,000) kila moja.

Polisi wamewatawanya wafanyabiashara hao ambao waliokuwa wakiendelea kufanya vurugu katika mkoa huo
IMG-20131002-WA0012
IMG-20131002-WA0002
IMG-20131002-WA0004
IMG-20131002-WA0006
IMG-20131002-WA0013
Hivi ndivyo mambo yanavyoendelea mkoani Mbeya.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment