Kampuni ya Apple na Samsung, zimerudi tena mahakamani
kufuatia kesi yao ya kudai hati miliki, kampuni ya Samsung, ilikutwa na hatia
ya kuiba sifa za simu ya Apple na kuitumia katika simu zake, hivyo kampuni hiyo
ilitakiwa kulipa kiasi kikubwa cha fedha.
Jaji anayesimamia kesi hiyo, Lucy Koh, amesema kuwa
mahakama hiyo ilipiga vibaya hesabu, aliendelea na kusema kuwa Samsung imelipa
kiasi cha dola milioni 550 na zimebakia 450, lakini zilizobakia zitaangaliwa
tena.
0 maoni:
Post a Comment