MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

BABY MADAHA ANAKUJA NA FILAMU PAMOJA NA MCHEKESHAJI MAARUFU WA KENYA.


 Baby Madaha kuigiza na mchekeshaji wa Kenya, JB Masanduku kwenye filamu moja
Baby Madaha

Baby Madaha, anakuja na filamu yake mpya ambayo ndani yake atacheza na mchekeshaji maarufu wa Kenya JB Masanduku, Filamu hiyo itachezwa nchini Kenya, Kampala na Dar es salaam nchini Tanzania.

Jina la Filamu hiyo ni Gall Bladder, katika Filamu hiyo Baby Madaha na mkenya huyo watacheza kama mastaa wakuu katika filamu.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment