Ni mwaka mmoja sasa tokea kutokea kifo cha msanii muigizaji na muimbaji wa muziki wa Bongo fleva Sharo Milionea, ndugu na jamaa zake wanamfanyia kisomo kwa ajili ya kumbukumbu ya kifo chake kilichotokea mwaka jana tarehe 26/11/2012,-26/11/2013,
Hawa ni ndugu na jamaa wa Sharo Milionea. |
0 maoni:
Post a Comment