Msanii wa Hip Hop, Maansoor Ally A.K.A,
Mansu-Li, yuko njiani kuachia Ngoma mpya Ijumaa hii tar 15,11,2013. katika
ngoma hiyo amewapa shavu Tamaduni Music, Nikki Mbishi na Bell9.
Nyimbo imefanywa na Produza wa Mona Gangster wa
Classic Sound, na Pall wa Tatto Records.
0 maoni:
Post a Comment