Rapper mwenye tungo tata Nay wa Mitego,
amefunguka na kusema kuwa ndani ya mwaka huu pekee ameweza kuingiza kitita cha
milioni 80, kupitia kazi yake muziki na baadhi ya matangazo madogomadogo.
Aliendelea kwa kusema kuwa “ kama kujenga nilishajenga
tangu hata sijaanza kufanya Muziki, na sasa hivi nimekuwa nikijitaidi kufanya
muziki wangu kama ndio mtaji wa maisha yamngu na ndio maana ta baadhi ya Deal
za matangazonimekuwa nikizikataa kutokana na Bei, na kama mnakumbuka
nilihitajika niwe jaji katika mashindano ya BSS, lakini nilishindwa kutokana na
maslahi kuwa madogo” .
“ Kuna kampuni ya simu ilinipigia simu kuniitaji mimi
niwe balozi na kufanya matangazo ila bado hatujafikia muafaka, tupo kwenye
makubaliano ya bei, kama ningekuwa msanii njaa, ungenikuta kwenye matangazo,
0 maoni:
Post a Comment