Msanii wa Hip Hop nchini Tanzania,
amefunguka na kusema kuwa yuko mbioni kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa
jina la “Nakula Ujana” Ngoma hiyo itaachiwa tarehe 20, mwezi huu.
Aliendelea kwa kusema kuwa Hiyo nyimbo itafanya vizuri
zaidi, ingawa walisema kuwa ile ya mziki Gani nilipigwa Back up na Diamond,
lakini this time ninataka kuwaoneha kuwa naweza muziki.
0 maoni:
Post a Comment