Ostaz Juma na Mr Blue |
Ostaz Jima, anakuja na Goma mpya
unayokwenda kwa jina la “Najiyuma” ambao amewapa mashavu wasanii wakubwa wawili,
MR BLUE na NIKKI MBISHI.
Ostazi , amefunguka na kusema kuwa anataka kuwaonesha
watanzania kuwa anaweza kufanya Muziki na kusimamia vijana wake akiwa kama meneja.
0 maoni:
Post a Comment