Rapper wa nchini Kenya, Prezzo, ameji mashambulizi kwa Huddah Monroe, kwa kusema kuwa
uhusiano wake na Huddahulikuwa wa kufanya mapenzi tu {Ngono}, hayo ylisemwa na
rapper huyo.
Aliyasema hayo mara baada ya kufanyiwa Interview na
Heads Up, Prezzo, alisema ni kweli kuwa alikuwa na mausiano na Hddah kwa muda
mfupi, aliendelea kwa kusema kuwa “ tulikutana kama mala tatu hivi nadhani
alipenda alichokipata, alinogewa,” hayo yalikuwa ni majibu ya Prezzo kwa huddah
kupitia Heads Up.
“ huddah ni kama mali ya serikali, amelala na karibu
dunia nzima . unadhani Rais anaweza kutulia na mwanamke kama huyo, Huddah ,
amekuwa akiwasumbua wanawake wote niliokuwa nao kimapenzi.
0 maoni:
Post a Comment