Msanii wa Muziki Nchini Marekani, Rihanna
, ni mmoja kati ya wasanii waliosaidia waathirika wa kimbunga kilichotokea
nchini Ufilipino, na kusababisha madhara makubwa katika nchini hiyo.
Rihanna ametoa ahadi ya kuchangia kiasi cha Dola
100,000. mchango wake utakwenda katiika shirika la kusaidia watoto la umoja wa
mataifa {Unicef}
0 maoni:
Post a Comment