Kutoka na Bifu iliyopo kati ya Adam Juma na Nisha,
kutupiana maneno kupitia mitandao ya kijamii, mtandao wa Millardayo, ulifanya
Interview na Director mwengine mkongwe tu katika game na kusema kuwa……
‘Aaah well hizo mi mi nimefatilia kwa sehemu moja au
nyingine lakini kiukweli sijui yani nisemaje lakini mi naona kwanza hayo mambo hayanihusu kwa
sababu hayo mambo ni parsonal ni mtu mmoja na mtu mwingine ndo wamegombana
hayanihusu,lakini kwa ufatiliaji nilivyoona naona kwenye hilo tatizo kuna mmoja hana adabu’.
‘Ukweli kama mioyoni mwao wako real kwamba wanabishana
wana fanya malumbano hayo kwa kupeana challenge za kikazi hilo
sidhani hata kama wewe utakataa kwamba halitoendeleza game lakini kama wanafanya
mambo ya mitaani ya hivi na hivi kama mioyoni
mwao wana bifu tofauti hiyo haiwezi saidia chochote’
0 maoni:
Post a Comment