[AUDIO] 50 Cent na Fat Joe - 'Free Again',
Ikiwa ni mwaka mmoja na miezi kadhaa imepita baada ya kingozi wa G-Unit 50 Cent na kiongozi wa Terror Squad, Fat Joe kutangaza rasmi kumaliza beef lao lililodumu kwa kipindi kirefu na kumtaja marehemu Chris Light kuwa chanzo cha wao kuzika beef hilo, wawili hao wamekutanishwa kwa mara ya kwanza kwenye wimbo mmoja na Dj Kay Slay ‘Free Again’.
0 maoni:
Post a Comment