Kutokana na Muziki wa Bongo kushika nafasi na kuzidi
kupanda matawi, sasa wasanii wengi wamekuwa wakifanya mambo mazuri kama vile
kununua magari, Nyumba za kisasa na vitu vyengine vya samani, msanii mdogo,
Young Dee, amenunua nyumba yake maeneo ya Kimara Suka, nyenye eneo kubwa.
Msanii huyo ameionesha nyumba yake kupitia mtandao, na
kwasasa anaifanyia matengenezo ili kuamia mara baada ya kukamilika.
0 maoni:
Post a Comment