Msanii wa muziki nchini Marekani, Justin Bieber,
amekamtwa kwa kosa la kuendesha Gari akiwa amelewa, JB, alikamatwa mitaa ya Miami Beach kwa kosa hilo
la kuendesha wakatimakiwa bwaksi.
Mtandao wa TMZ, Umeripoti kuwa msanii huyo alikamatwa
mida ya Asubuhi ya leo, na mpaka sasa bado yupo chini ya Polisi.
Kwasasa JB, anatakiwa kwenda Jela kwa kosa hilo na mambo ya kuwekewa
dhamana yatafuata akiwa yupo rupango.
0 maoni:
Post a Comment