MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

Audio: PNC afunguka baada Ostaz Juma kuweka picha ikionesha anampigia magoti, Ostaz nae aleleza sababu ya kupost picha hiyo


 Jumatano (February 26, 2014), Boss wa Watanashati Ostaz Juma alipost picha kwenye ukurasa wake wa Facebook ikimuonesha PNC akimpigia magoti kumuomba msamaha na kuandika “hahaha jamani mziki ni kazi pnc arudi kuomba msamaha ili aendelee kufanya kazi mtanashati”. Kitendo ambacho kilipondwa na wengi na kuonekana kama ni udhalilishaji..... TUMIA DAKIKA ZAKO KUMSIKILIZA OSTAZ JUMA HAPA.........
Kutoka Timesfm
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment