MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

HUYU NDIO MWANAMKE WA KWANZA MWENYE NDEVU NYINGI DUNIANI, MTAZAME HAPA.



 Mwanamke mwenye ndevu kama mwanaume apokea vitisho vya kuuawa, adai anajiona mwenye mvuto zaidi
Harnaam Kaur, mwanamke mwenye umri wa miaka 23 anayeishi katika mji wa Slough, Kusini Mashariki mwa Uingereza amepokea vitisho vya kuuawa kutoka kwa watu asiowafahamu kwenye mitandao kwa sababu ya ndevu zake nyingi zinazomfanya asitofautishwe kirahisi na mwanaume.........


Mwanamke huyo ambaye anakabiriwa na tatizo la kuwa na vinyweleo vingi kupita kiasi, tatizo linalojulikana kitaalamu kama ‘polycystic ovary syndrome’, ameeleza kuwa alianza kupata tatizo hilo akiwa na umri wa miaka 11 na kwamba alikuwa akizinyoa mara mbili kwa wiki

Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment