MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

NYIMBO YA OFFSIDE TRICK YAZUA UTATA MKUBWA, OMMY FLANI.........HIYO NYIMBO NI HII HAPA.


 Msanii wa miondoko ya mduara nchini Tanzania, Ommy Flani, ameibuka na kusema kuwa kitu walichokifanya Offside Trick, siyo cha kiungwana, “ walinitaka nifanye nao nyimbo ya TALAKA, nikawakubalia kwa roho nzuri kabisa, chakushangaza nyimbo tuliimba wote na mimi nikiwemo kama ft, lakini ilivyotoka kipande changu wakakifuta”. Hayo yalikuwa maneno kutoka kwa msanii huyo chupukizi, Ommy Flani, kutokana na maneno hayo kutoka kwa msanii, lakini tulishindwa kukutana na Offside Trick kujua ukweli kamili wa tukio hilo...................
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment