MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

OSTAZ JUMA, PNC HANA NIDHAMU NDIO MAANA NIMEMTIMU WATANASHATI, 'PNC, OSTAZ ANAZINGUA SANA. VUTA NIKUVUTE, KWA STORY KAMILI BOFYA HAPA.



 Baada ya Janjaro, PNC naye aondolewa Mtanashati Entertainment, Ostaz Juma adai wote hawana nidhamu
Msanii wa muziki nchini TZ,  PNC, ametolewa kwenye kundi la Watanashati Entertainment, kwa kile kilichoitwa utovu wa nidham.

Mtandao wa Times fm, ulinukuu kauli yake “ Ostz alisema kuwa hatua hiyo imetokana na utovu wa nidhamu ulioneshwa na msanii huyo kwa kutofuata sheria za Watanashati, ikiwa ni pamoja na kufanya Show bila uwongozi kuja” hayo yalikuwa maneno ya Ostaz,

Lakini Mtandao wetu wa Mweraamazing, ulipata kukutana na PNC , Kabla ya mtandao wa Timesfm kutoa hii Taarifa, msanii huyo alikuwa akidai kuwa Ostaz Juma anazingua, anawabana sana wasanii na kutowasimamia vizuri, ata wakitoa nyimbo mpya Promo imekuwa ndogo na kufanya nyimbo nzuri kusikika kwa muda mfupi, hayo yalikuwa ni maneno ya PNC katika story za kawaida tu. Nazai utapima pande zote mbili na kujua wapi kupo sawa na wapi hakupo sawa.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment