Mchezaji wa kikosi cha timu ya Taifa ya England,
Ashley Cole, amekumbwa na kashfa ya Ushoga mara baada ya Gazeti la The Sun,
kutaka kutoa taarifa kuhusu kashfa hiyo..........
Gazeti la The Sun lilikanusha kutaka kuandika stori hiyo, lakini
bado mlinzi wa kushoto wa England na Chelsea, Ashley Cole akawahi kukanusha
kwamba alikuwa hahusiki na kashfa hiyo.
0 maoni:
Post a Comment