Msanii kutoka Marekani, Rihanna, anatarajiwa
kukabidhiwa Tuzo na kampuni kubwa ya mitindo nchini Humo kutokana na jinsi
anavyotupia mavazi yake kila kukicha..........
“Council of Fashion Designers of America, Inc
imetangaza kumpa Rihanna tuzo hiyo kwa madai kuwa ameleta impact kubwa kwenye
kiwanda cha mitindo ya mavazi na kuwa kama balozi wa utamaduni wa Pop.”
0 maoni:
Post a Comment