Kampuni ya Mtandao wa Facebook, mara baada ya kununua
Whatsapp, kwa dola milioni 19, sasa imeamua kuanzisha program ya kupiga na
kupokea simu kupitia whatsapp, itakapofikia mwishini mwa mwaka huu..........
Hiki ni kitu muhimu kwa wapenzi na watumiaji wa
Whatsapp, kwa mwaka huu, mambo simple kabisa,.
0 maoni:
Post a Comment