MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

DUDUBAYA, AMEMKAMA MAMA YAKE NA KISU. [DUDUBAYA, WANTED]



 
Msanii wa nguli wa Hip Hop Bongo,Dudubaya anatafutwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa kosa la kumkata sikio mama yake mkubwa akidai kuwa mama yake huyo anamroga(kumfanyia mambo ya kishirikina)............


Kwa mujibu wa mdogo wake aitwaye Muweta alisema kuwa siku ya tukio msanii huyo alimfuata mama yake huyo nyumbani kwake na kumlaza kwenye makochi na kuanza kumkata sikio kwa kisu huku akimwambia kwanini anamroga baada ya kufanya tukio hilo alitokomea kusikojulikana.
 
 kutoka Cloudsfm,
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment