MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

JOSE MOURINHO, AMEKINUKISHA CHELSEA, ETO’O NA TORRES, “SIWATAKI”



 
Meneja wa Kikosi cha Timu Ya Chelsea, Mourinho, ametangaza kuwa anatarajia kuwauza wachezaji ambao anaisi kuwa watakuwa mzigo katika kikosi hicho, na kuwapa nafasi wachezaji wengine wakati wa summer time..............


Kikosi hicho kinamtaka kumpa mkataba Diego Costa, anayekiputa huko Atletico, pia Eto’o ni mshambuliaji anayeonesha dalili za kuondoka klabuni hapo mwishoni mwa ,msimu huu na kampa nafasi Torres kurudi kwenye klabu yake.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment