Mwanasiasa mkubwa nchini Zitto Kabwe, naye ameweka
picha akiwa anakula ndizi ikiwa ni mwendelezo wa kile alichokifanya Dani Alves,
Kula ndizi uwanjani aliyotupiwa na Shabiki uwanjani................
Mchezaji huyo alijibu maswali mengi kufuatia tukio la
yeye kula ndizi aliyotupiwa na shabiki mbaguzi wa rangi na hili ndio jibu la
maswali yote “Baada ya hapo Dani alisema aliamua kula ndizi hiyo kwa sababu
baba yake mzazi aliwahi kumwambia kuhusu umuhimu wa mwili wa mwanadamu kupata
ndizi.”
Ni kitendo kilichosifiwa sana na baadae kuwa topic
kubwa ambapo mastaa mbalimbali wamejitokeza kumsupport Dani na kupinga ubaguzi
kwa kupiga picha wakiwa wanakula ndizi ambapo miongoni mwao ni Staa wa muziki
kutoka Nigeria Davido, mastaa wa soka kama Emmanuel Adebayor, Samuel Eto’o,
Neymar na wengine.
0 maoni:
Post a Comment