Leo ni siku muhimu zaidi katika uchaguzi mkuu nchini India-taifa ambalo ni demokrasia kubwa zaidi duniani. Uchaguzi wa ubunge unafanyika hivi leo katika majimbo mhimu, ikiwemo mji mkuu New Delhi...........
Watu milioni mia nane na kumi na nne wana kibali cha
kushiriki katika uchaguzi huo ambao unafanyika kwa kipindi cha wiki tano
kutokana na sababu za kiusalama na miundo mbini.
Hadi kufikia sasa maeneo muhimu yaliyolengwa na vyama
kinzani vya Congress na BJP yamekamilisha shughuli hizo.
0 maoni:
Post a Comment