Bongo Movies, inaendelea kupata mapigo, ili nalo
likiwa ni pigo jengine, msanii wa Bongo Movies, anayejulikana kwa jina la
Rachel Haule, ambaye amecheza Movie ya Vanessa in Dilema, na zingine nyingi,
amefariki duni............
Chanzo cha kifo chake chake bado hakijafahamika ingawa
taarifa za mwanzo zinasema alikua mjamzito na alikwenda Muhimbili kwa ajili ya
kujifungua baadae alifanikiwa kujifungua lakini kwa bahati mbaya mtoto
alifariki nae hali ilibadilika akapelekwa ICU lakini baadae akafariki.
0 maoni:
Post a Comment