MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

DR DRE, KUWA BILIONEA WA KWANZA



 Dr Dre kuwa billionaire wa kwanza mwanamuziki, apple yanunua kampuni yake kwa dola billion 3, Diddy akubali kufunikwa
Kampuni ya Apple, imetangaza kuinunua Kampuni ya Dr. Dre, ya Beats E         lectronics, inayotengeneza Headphone, almaharufu Beats By Dr. Dre. Imepanga kutoa mkwanja wa dola bilioni 3..........


Malipo hayo yatamfanya Dr Dre kuwa sio tu mwanamuziki tajiri zaidi duniani lakini pia mwanamuziki wa kwanza kuwa Billionaire
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment