Msanii wa Bongo Fleva Ally Kiba, anakuja na ujio wake
mpya ambao amefanya na msanii kutoka nchini Congo..........
Kupitia mtandao wa Instagram, Tunda man ambaye ndiye
rafiki mkubwa wa Ally Kiba aliweka hiyo picha hapo juu na kuandika haya “‘boonge
la ngomaaaaa, dah big up Ali Kiba, hatari nasikiliza kila mda new hit, unarudi
kwa vurugu nyingi’
0 maoni:
Post a Comment