Diamond Platnumz, amejichukulia Tuzo nyingi[7] kuliko
wasanii wote walioshiriki katika Tuzo Hizo za Kili Music Awards, hapo jana...........
Mpenzi wake Wema Sepetu, alisikika akisema haya maneno
“.I must say I am a proud wife to be..
I am very proud of my baby." Wadau wengi wa Diamond, walifunguka na kusema kuwa huo
uwe mwazo tu, lakini asijibweteke kwa Tuzo hizo, kwani wapo waliopita na Tuzo kama yeye lakini sasa hawasikiki tena. Keep It Up, Mzee,
You made It.
MWERAAMAZING, inatoa Pongezi kwa Wote Waliopata Tuzo
Za Kili Music Awards, N a wale waliokosa this Tym, Jipangeni kwa Next Tym.
0 maoni:
Post a Comment