Mmoja wa waimbaji nyota wa muziki wa dansi waliowahi
kutokea hapa nchini Amina Ngaluma amefariki dunia..............
Muimbaji huyo alitamba na bendi za Tam Tam na Double M
Sound,amefia nchini Thailand
alipokuwa akiishi kikazi kwa muda mrefu.Moja ya nyimbo zilizompa umaarufu ni
Mgumba No.1 aliouimba na bendi ya African Revolution 'Tam Tam' chini ya
Mwinjuma Muumin.
Tungependa kuwapa pole ndugu,jamaa na marafiki wa
karibu wa familia,mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Amen.
Chanzo Timesfm.
0 maoni:
Post a Comment