Nash Mc ambaye ni Miongoni mwa wasanii wanaotokea Tamaduni Music leo ameingia kwa mahakama ya Soudy Brown kuhusu kumtelekeza msichana ambaye inasemekana alikua mpenzi wake ambaye baada ya kupata ujauzito kwa msichana huo aliukataa na kukatisha mahusiano....................
kutoka kwa millardayo.
0 maoni:
Post a Comment