Kikosi cha vijana wa Jangwani, Yanga SC, imetoa idadi ya wachezaji watakao temwa kipindi hichi cha msimuu mpya wa ushajiri 2014/2015. hii ni kutokana na Kikosi hicho kutoa nafasi kwa Timu zingine kuja cha kufanya kwa wachezaji hao....... WAJUE WALIOTEMWA.......
1. David Luhende
2. Athuman Idd “Chuji”
3. Geroge Banda -U20
4. Yusuph Abdul -U20
5. Rehani Kibingu -U20
6. Hamisi Thabiti
7. Reliants Lusajo
8. Bakari Masoud – U20
9. Shaban Kondo
10. Abdalllah Mguhi “Messi” U-20
11. Ibrahim Job
0 maoni:
Post a Comment