Muigizaji huyo wa 12 Years A Slave, ambaye ni mshindi
wa tuzo ya Oscar ya mwaka jana kama muigizaji bora wa kike msaidizi, anaungana
na wasanii wengine waliong’ara mwaka jana katika tasnia ya filamu pamoja na
mwanamuziki Pharrell Williams kama members wapya wa Academy hiyo.............
Hapa tunapata idadi ya Wasanii wengine wenye umri mdogo
watakaoungana na Lupita ni pamoja na Josh Hutcherson, Michael Fassbender, Ben
Foster, Sally Hawakins, Julia Lousi-Dreyfus, Chris Rock na Jason Statham.
0 maoni:
Post a Comment