MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

CHUO KIKUU CHA "IMTU" CHAUSISHWA NA TUKIO LA KUTUPWA KWA VIUNGO VYA BINADAMU, NA MADAKTARI KADHAA WAPO CHINI YA JESHI LA POLISI



 Audio: Madaktari washikiliwa kwa tuhuma za kutupa viungo vya miili ya binadamu Dar
Jeshi la polisi kanda maalum  ya Dar es salaam linawashikilia watu wanane wakiwemo madaktari wa chuo cha udaktari cha IMTU kwa ajili ya uchunguzi wa tukio la viungo vya binadamu vilivyokutwa katika bonde la Mbweni mpiji eneo la Bunju.................


Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, kamishina wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Sulemani kova amesema kuwa uchunguzi wa awali umebaini kuwa miili hiyo imethibitika kutoka katika chuo cha udaktari cha  IMTU.
Kutoka Timesfm
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment