MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

TAARIFA ILIYONIFIKA HIVI PUNDE JUU YA MIILI ILIYOKAMATWA JANA USIKU. [picha za Taarifa Hii siyo nzuri, tafadhari kama hauna moyo wa chuma hii post haikufai]



 
Polisi wa Kituo cha Bunju na Wazo, wanapiga Risasi juu ilikuwatawanyisha watu walio vamia kituo cha polisi Bunju “A” Ili wamuue dereva aliyekamatwa gari aina ya HILUX, iliyojaa viungo vya Binadamu...........

 
Baadhi ya viungo hivyo vikiwa vimekaushwa wakati vichwa vikiwa vinavuja damu, kwa taarifa ni kwamba Dereva huyo alifanikiwa kumwaga kwa mara ya kwanza karibu na eneo la shule ya Consolata ambayo iko chini ya Masista.
 
Mara baada ya tripu ya kwanza akarudi kwa safari ya pili ili kuvitupa tena viungo hivyo, ndipo alipokutana na wananchi, wakawaita polisi na kukamatwa…..

Tutaendelea kukujuza zaidi.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment