HA HA HA HA JE WAJUA KILICHOMKUTA JAYZ NA WAPAMBE WAKE, BASI VUNJA MBAVU NA WEWE MDAU WANGU
Je wajua kuwa kuwa na jina kubwa siyo sababu ya kujulikana dunia nzima, ha ha ha ha ha siyo kama nimevunja mbavu sana bali tu ni jinsi gani Rapper JayZ, alivyochukia baada ya Timu yake kuwakataza watalii wengine kuchukua Video eneo la kitalii, mara mtalii mmoja akauliza “ Huyo ni nani?” akasikika JayZ akijibu “ wewe nani?” wakali wa mamba wamedai kuwa mshua alichukia. Hebu Tumia dakika zako kucheki tukio zima hapa………
0 maoni:
Post a Comment