MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

JAY SEAN, AJIONDOA CASH MONEY.

Mmoja ya Msanii wa Muziki nchini Marekani wa Kundi la Cash Money, Jay Sean, ametangaza kujiondoa kwenye Label ya Hiyo.................


Msanii hiyo amesema kuwa hana tatizo na kundi hilo la Cash Money, bado wako kama washkaji  Slim na Baby wamemkunjulia kwa maisha yake mapya.


“waliamini katika kipaji change na ushirikiano wetu ulileta mafanikio makubwa” aliendelea kwa kusema kuwa anadai kuwa alitaka kupata kitu kingime.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment