Taarifa
ya msiba” Msichana aliyecheza katika Video ya Mh Temba, aliyomshirikisha Dully
Sykes “Nampenda Yeye” kutoka na Taarifa kutoka kwa Temba, zinasema kuwa Mdada
huyo amefariki hapo jana......................
Mh-
Temba amefunguka na kusema “ R.I.P Batuli. Amefariki jana mazishi ni Leo
Kisutu, Dada yangu Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi, tutakukumbuka kwa mema
yote. Batuli ulijitolea kwa nguvu na mali ktk Video yangu yangum ya Namapenda
yy na kwa nguvu za Mungu tulifanikiwa”
0 maoni:
Post a Comment