MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

CHIDI BENZ, AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA AIRPORT


Msanii wa Muziki wa Hip Hop, nchini Tanzania CHIDI BENZ, amekamatwa na Polisi akiwa na madawa ya kulevya katika kiwanja cha Nenge cha kimataifa, jijini Dar es salaam, akiwa kwenye safari ya kuelekea mjini Mbeya. [Bofya hapo chini kusikiliza mahojiano].........

 Kwenye safari hiyo msanii huyo hakuwa pekee bali alikuwa na msanii mwenza, Shetta, ila Shetta, alikataa kufunguka kila kitu na kusema kuwa polisi ndio wenye taarifa zaidi
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment