MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

MTOTO WA JACKIE CHAN, AMEKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA

Jackie
Mcheza movie mkongwe wa  Hong Kong China, Jackie Chan ameomba vyombo vya habari ‘vijichunge’ na namna vinavyoandika taarifa kuhusiana na kitendo cha mtoto wake kukamatwa na dawa za kulevya kwa kuwa kufanya hivyo si kumuumiza yeye (Jackie Chan) bali ni kumuumiza mama wa mtoto huyo...............


Jackie Chan amesema kutokana na  tukio hilo amejifunza kuwa baba bora kitu ambacho hakukijua siku za nyuma.


Mtoto wa staa huyo, Jaycee Chan alikamatwa kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi zaidi ya gramu 100 ndani ya nyumba yake, na baadaye kushitakiwa kwa kuuza dawa hizo.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment